CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 47
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tabaini.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Tamathali za Usemi
47. Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tabaini.
- AYeye ni daktari bingwa.
- BAlikuwa mrefu kama twiga.
- CKiongozi huyo alikuwa simba.
- DSi mtoto, si mzee, wote walihudhuria sherehe.
Answer
D. Si mtoto, si mzee, wote walihudhuria sherehe.
Tabaini ni mbinu ya kurudia ukanushi ‘si…si…’ kusisitiza jambo. B ni tashbihi (kama) na C ni sitiari.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: pendeza, patana.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuuliza jinsi ya kujenga uhusiano mzuri na wenzako. Chagua methali utakayotumia kumshauri.Question 50
- Kulingana na kifungu, mchezo wa bao ni muhimu kwa sababu:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, ni nini kilichangia heshima ya kijiji hapo awali?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha athari ya maisha ya kisasa kwenye mchezo wa bao.Question 3