CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 46
Sentensi, Juma alicheza na mpira, inamaanisha Juma alikuwa akicheza huku mpira ukiwa karibu naye. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Na
46. Sentensi, Juma alicheza na mpira, inamaanisha Juma alikuwa akicheza huku mpira ukiwa karibu naye. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.
- AJuma alitumia mpira kucheza.
- BJuma alicheza akiwa na mpira.
- CJuma alicheza dhidi ya mpira.
- DJuma alicheza mpira.
Answer
A. Juma alitumia mpira kucheza.
‘Na’ inaweza kuonyesha kifaa kilichotumika: Juma alitumia mpira kuchezea.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tabaini.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: pendeza, patana.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuuliza jinsi ya kujenga uhusiano mzuri na wenzako. Chagua methali utakayotumia kumshauri.Question 50
- Kulingana na kifungu, mchezo wa bao ni muhimu kwa sababu:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, ni nini kilichangia heshima ya kijiji hapo awali?Question 2