CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 43
Chagua usemi halisi wa: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba walifaa kufanya kazi kwa bidii.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi Halisi na wa Taarifa
43. Chagua usemi halisi wa:
Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba walifaa kufanya kazi kwa bidii.
- A“Mnafaa kufanya kazi kwa bidii,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.
- B“Wanafaa kufanya kazi kwa bidii,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.
- C“Tunafaa kufanya kazi kwa bidii,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.
- D“Walifaa kufanya kazi kwa bidii,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.
Answer
A. “Mnafaa kufanya kazi kwa bidii,” mwalimu aliwaambia wanafunzi.
Katika usemi halisi mwalimu anawaambia wanafunzi moja kwa moja, kwa hiyo anatumia nafsi ya pili wingi na wakati uliopo: “Mnafaa…”.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza na mpira, inamaanisha Juma alikuwa akicheza huku mpira ukiwa karibu naye. Chagua jibu lenye…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tabaini.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: pendeza, patana.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49