naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 42

Usemi halisi wa sentensi, Daktari alisema kuwa wagonjwa wangetibiwa bila malipo siku hiyo, ni:

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi

42. Usemi halisi wa sentensi, Daktari alisema kuwa wagonjwa wangetibiwa bila malipo siku hiyo, ni:

  1. A“Wagonjwa watafaidika na matibabu bila malipo siku hiyo,” daktari alisema.
  2. B“Wagonjwa watatibiwa bila malipo leo,” daktari alisema.
  3. C“Wagonjwa wangetibiwa bila malipo leo,” daktari alisema.
  4. D“Wagonjwa watatibiwa bila malipo siku hiyo,” daktari alisema.

Answer

B. “Wagonjwa watatibiwa bila malipo leo,” daktari alisema.

wangetibiwa → watatibiwa; siku hiyo → leo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test