CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 43
Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Udogo
43. Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.
- AKijitu kile kilikiogopa kijibwa cha jirani.
- BMtu yule alimwogopa mbwa wa jirani.
- CJitu lile lilimwogopa mbwa wa jirani.
- DKijitu kile kilimwogopa mbwa wa jirani.
Answer
A. Kijitu kile kilikiogopa kijibwa cha jirani.
Kijitu na kijibwa.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo kutokana na sentensi: Alihitaji msaada. Alijifanya kuwa mwenye nguvu.Question 44
- Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine?Question 45
- Chagua jibu sahihi. Baba alimsaidia mama kazi naye mama akamsaidia baba kazi. Kwa hivyo:Question 46
- Sentensi, Wanafunzi wenye nidhamu watafaulu katika masomo yao, katika wakati uliopita ni:Question 47
- Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi: ‘Ukuta uliopakwa rangi na fundi umependeza.’Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea?Question 49