CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 45
Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vinyume
45. Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine?
- Apanda - shuka
- Bota - nusa
- Cketi - simama
- Dnuna - cheka
Answer
B. ota - nusa
Mengine ni vinyume; ota – nusa si vinyume.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi. Baba alimsaidia mama kazi naye mama akamsaidia baba kazi. Kwa hivyo:Question 46
- Sentensi, Wanafunzi wenye nidhamu watafaulu katika masomo yao, katika wakati uliopita ni:Question 47
- Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi: ‘Ukuta uliopakwa rangi na fundi umependeza.’Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea?Question 49
- Kamilisha methali ifuatayo: Ujanja wa nyani huishia katika___Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, Zena aliharakisha hatua zake kwa sababuQuestion 1