naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 46

Chagua jibu sahihi. Baba alimsaidia mama kazi naye mama akamsaidia baba kazi. Kwa hivyo:

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi

46. Chagua jibu sahihi.
Baba alimsaidia mama kazi naye mama akamsaidia baba kazi. Kwa hivyo:

  1. Awalisaidiana
  2. Bwalisaidika
  3. Cwalisaidiwa
  4. Dwalisaidiiana

Answer

A. walisaidiana

Kauli ya kutendana.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test