CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 50
Kamilisha methali ifuatayo: Ujanja wa nyani huishia katika___
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
50. Kamilisha methali ifuatayo:
Ujanja wa nyani huishia katika_____
- Amsitu.
- Bmti.
- Cshamba.
- Djangwa
Answer
D. jangwa
Ujanja wa nyani huishia jangwani.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na aya ya kwanza, Zena aliharakisha hatua zake kwa sababuQuestion 1
- Mawazo ya Zena, “Jamani! Kuna nani huko?” yanadhihirisha nini kuhusu mazingira yake?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha kuwa Zena ni jasiri na mwenye utu.Question 3
- Chagua mfuatano sahihi wa matukio katika kifungu hiki. (i) Zena kumpigia mzazi simu. (ii) Zena kusikia sauti ya…Question 4
- Kauli “alikuwa ametulia tuli kama maji ya mtungi” imetumia tamathali gani?Question 5
- Unafikiri daktari alichukua hatua gani baada ya nyanya kufikishwa hospitalini?Question 6