naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48

Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi: ‘Ukuta uliopakwa rangi na fundi umependeza.’

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

48. Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi:
‘Ukuta uliopakwa rangi na fundi umependeza.’

  1. AKuta zilizopakwa rangi na fundi zimependeza.
  2. BKuta zilizopakwa rangi na mafundi zimependeza.
  3. CKuta zilizopakwa rangi na mafundi umependeza.
  4. DKuta zilizopakwa rangi na fundi umependeza.

Answer

B. Kuta zilizopakwa rangi na mafundi zimependeza.

Ukuta → kuta; fundi → mafundi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test