naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 47

Sentensi, Wanafunzi wenye nidhamu watafaulu katika masomo yao, katika wakati uliopita ni:

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati

47. Sentensi, Wanafunzi wenye nidhamu watafaulu katika masomo yao, katika wakati uliopita ni:

  1. AWanafunzi wenye nidhamu wanafaulu katika masomo yao.
  2. BWanafunzi wenye nidhamu wamefaulu katika masomo yao.
  3. CWanafunzi wenye nidhamu walifaulu katika masomo yao.
  4. DWanafunzi wenye nidhamu huwa wanafaulu katika masomo yao.

Answer

C. Wanafunzi wenye nidhamu walifaulu katika masomo yao.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test