naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 44

Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo kutokana na sentensi: Alihitaji msaada. Alijifanya kuwa mwenye nguvu.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi

44. Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo kutokana na sentensi:
Alihitaji msaada. Alijifanya kuwa mwenye nguvu.

  1. AAlihitaji msaada kisha alijifanya kuwa mwenye nguvu.
  2. BAlihitaji msaada aghalabu alijifanya kuwa mwenye nguvu.
  3. CAlihitaji msaada sembuse alijifanya kuwa mwenye nguvu.
  4. DAlihitaji msaada japo alijifanya kuwa mwenye nguvu.

Answer

D. Alihitaji msaada japo alijifanya kuwa mwenye nguvu.

Japo: kinyume.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test