CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 41
Mwalimu alimfanya mwanafunzi asome kitabu kwa sauti. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
41. Mwalimu alimfanya mwanafunzi asome kitabu kwa sauti. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:
- AMwalimu alimsomea mwanafunzi kitabu kwa sauti.
- BMwalimu alisomewa na mwanafunzi kitabu kwa sauti.
- CMwalimu alimsomesha mwanafunzi kitabu kwa sauti.
- DMwalimu na mwanafunzi walisomeana kitabu kwa sauti.
Answer
C. Mwalimu alimsomesha mwanafunzi kitabu kwa sauti.
Kauli ya kutendesha.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Usemi halisi wa sentensi, Daktari alisema kuwa wagonjwa wangetibiwa bila malipo siku hiyo, ni:Question 42
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.Question 43
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo kutokana na sentensi: Alihitaji msaada. Alijifanya kuwa mwenye nguvu.Question 44
- Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine?Question 45
- Chagua jibu sahihi. Baba alimsaidia mama kazi naye mama akamsaidia baba kazi. Kwa hivyo:Question 46
- Sentensi, Wanafunzi wenye nidhamu watafaulu katika masomo yao, katika wakati uliopita ni:Question 47