naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 40

Chagua sentensi ambayo ni ukanusho wa sentensi ifuatayo: Mvua ingenyesha mashamba yangekuwa na kijani.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji

40. Chagua sentensi ambayo ni ukanusho wa sentensi ifuatayo:
Mvua ingenyesha mashamba yangekuwa na kijani.

  1. AMvua isiponyesha mashamba hayatakuwa na kijani.
  2. BMvua haijanyesha mashamba hayajakuwa na kijani.
  3. CMvua isingalinyesha mashamba yasingalikuwa na kijani.
  4. DMvua isingenyesha mashamba yasingekuwa na kijani.

Answer

D. Mvua isingenyesha mashamba yasingekuwa na kijani.

-nge- → -singe-.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test