CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 39
Otieno alipofika kituoni alipata basi limeondoka kitambo. Kwa hivyo:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi
39. Otieno alipofika kituoni alipata basi limeondoka kitambo. Kwa hivyo:
- AOtieno alifika lakini alipata basi limeondoka kitambo.
- BOtieno alifika kwani alipata basi limeondoka kitambo.
- COtieno alifika pia alipata basi limeondoka kitambo.
- DOtieno alifika lau alipata basi limeondoka kitambo.
Answer
A. Otieno alifika lakini alipata basi limeondoka kitambo.
Kinyume cha matarajio: lakini.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi ambayo ni ukanusho wa sentensi ifuatayo: Mvua ingenyesha mashamba yangekuwa na kijani.Question 40
- Mwalimu alimfanya mwanafunzi asome kitabu kwa sauti. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:Question 41
- Usemi halisi wa sentensi, Daktari alisema kuwa wagonjwa wangetibiwa bila malipo siku hiyo, ni:Question 42
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.Question 43
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo kutokana na sentensi: Alihitaji msaada. Alijifanya kuwa mwenye nguvu.Question 44
- Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine?Question 45