CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 38
Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo: Miti mirefu ___lipandwa jana imeshika vizuri.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
38. Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo:
Miti mirefu _____lipandwa jana imeshika vizuri.
- Au
- Bi
- Cya
- Dzi
Answer
B. i
Miti (U-I) iliyopandwa.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Otieno alipofika kituoni alipata basi limeondoka kitambo. Kwa hivyo:Question 39
- Chagua sentensi ambayo ni ukanusho wa sentensi ifuatayo: Mvua ingenyesha mashamba yangekuwa na kijani.Question 40
- Mwalimu alimfanya mwanafunzi asome kitabu kwa sauti. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:Question 41
- Usemi halisi wa sentensi, Daktari alisema kuwa wagonjwa wangetibiwa bila malipo siku hiyo, ni:Question 42
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.Question 43
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo kutokana na sentensi: Alihitaji msaada. Alijifanya kuwa mwenye nguvu.Question 44