CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 37
Chagua jibu lenye maana kuwa ‘Mama alimpikia mgeni chakula kwa niaba ya mtoto.’
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
37. Chagua jibu lenye maana kuwa ‘Mama alimpikia mgeni chakula kwa niaba ya mtoto.’
- AMama na mtoto walimpikia mgeni chakula.
- BMama alimpikia mtoto chakula cha mgeni.
- CMama alimshughulikia mtoto kwa kumpikia mgeni chakula.
- DMama na mgeni walipikiwa chakula na mtoto.
Answer
C. Mama alimshughulikia mtoto kwa kumpikia mgeni chakula.
Kwa niaba ya mtoto.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo: Miti mirefu ___lipandwa jana imeshika vizuri.Question 38
- Otieno alipofika kituoni alipata basi limeondoka kitambo. Kwa hivyo:Question 39
- Chagua sentensi ambayo ni ukanusho wa sentensi ifuatayo: Mvua ingenyesha mashamba yangekuwa na kijani.Question 40
- Mwalimu alimfanya mwanafunzi asome kitabu kwa sauti. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:Question 41
- Usemi halisi wa sentensi, Daktari alisema kuwa wagonjwa wangetibiwa bila malipo siku hiyo, ni:Question 42
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.Question 43