CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 42
Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Meza ___ imevunjika.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viambishi vya Ngeli
Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo.
Meza ___ imevunjika.
- Awa
- Bya
- Cla
- Dza
Answer
B. ya
Jibu sahihi: ya.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Halima kwamba angekuja kumtembelea kesho.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.Question 48