CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 43
Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Halima kwamba angekuja kumtembelea kesho.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi Halisi na wa Taarifa
Chagua usemi halisi wa:
Mama alimwambia Halima kwamba angekuja kumtembelea kesho.
- A“Nitakuja kukutembelea kesho,” mama alimwambia Halima.
- B“Atakuja kukutembelea kesho,” mama alimwambia Halima.
- C“Nitakuja kumtembelea kesho,” mama alimwambia Halima.
- D“Atakuja kumtembelea kesho,” mama alimwambia Halima.
Answer
A. “Nitakuja kukutembelea kesho,” mama alimwambia Halima.
Jibu sahihi: “Nitakuja kukutembelea kesho,” mama alimwambia Halima. (Usemi wa taarifa ‘kumtembelea’ -- nafsi ya tatu -- unabadilika kuwa ‘kukutembelea’ -- nafsi ya pili -- katika usemi halisi, kwa sababu Mama sasa anazungumza moja kwa moja na Halima.)
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya ukubwa?Question 49