CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 45
Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Alama za Uakifishaji
Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
- ALo, umefika mapema.
- BLo? Umefika mapema.
- CLo! Umefika mapema.
- DLo: Umefika mapema.
Answer
C. Lo! Umefika mapema.
Jibu sahihi: Lo! Umefika mapema.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya ukubwa?Question 49
- Mwenzako anapenda kujisifu sana. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni kweli kuwa:Question 1