CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 48
Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.
- Athamani, shida
- Bkupenda, matatizo
- Ckutunza, mateso
- Dkuheshimu, msiba
Answer
C. kutunza, mateso
Jibu sahihi: kutunza, mateso.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya ukubwa?Question 49
- Mwenzako anapenda kujisifu sana. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni kweli kuwa:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, jukumu la mwalimu katika elimu limebadilika kwa sababu:Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha athari ya matumizi mabaya ya intaneti kulingana na aya ya pili.Question 3
- Bainisha jinsi mabadiliko ya mitindo ya maisha yanavyoathiri utamaduni kulingana na aya ya tatu.Question 4