CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 47
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Tamathali za Semi
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.
- AYeye ni simba vitani.
- BAnalia kama mtoto mchanga.
- CJua lilicheka kwa furaha.
- DMoyo wake ulifunga safari.
Answer
B. Analia kama mtoto mchanga.
Jibu sahihi: Analia kama mtoto mchanga.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya ukubwa?Question 49
- Mwenzako anapenda kujisifu sana. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni kweli kuwa:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, jukumu la mwalimu katika elimu limebadilika kwa sababu:Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha athari ya matumizi mabaya ya intaneti kulingana na aya ya pili.Question 3