CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 46
Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maana za Sentensi
Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi hiyo.
- AJuma alicheza kwa kutumia gitaa.
- BJuma alicheza na gitaa.
- CJuma alicheza akiwa na gitaa.
- DJuma alicheza karibu na gitaa.
Answer
B. Juma alicheza na gitaa.
Jibu sahihi: Juma alicheza na gitaa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya ukubwa?Question 49
- Mwenzako anapenda kujisifu sana. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na kifungu, ni kweli kuwa:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, jukumu la mwalimu katika elimu limebadilika kwa sababu:Question 2