CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 44
Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi
Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?
- AGari hili ni kubwa sana.
- BWatoto wanne wamekuja.
- CMtu yule ndiye mwizi.
- DVitabu hivi vimeibiwa.
Answer
A. Gari hili ni kubwa sana.
Jibu sahihi: Gari hili ni kubwa sana.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: jali, dhiki.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya ukubwa?Question 49
- Mwenzako anapenda kujisifu sana. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50