CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 41
Ukanusho wa sentensi, Amepanda mlima mrefu, ni:
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho wa Sentensi
Ukanusho wa sentensi, Amepanda mlima mrefu, ni:
- AHatapanda mlima mrefu.
- BHakupanda mlima mrefu.
- CHajapanda mlima mrefu.
- DHange panda mlima mrefu.
Answer
C. Hajapanda mlima mrefu.
Jibu sahihi: Hajapanda mlima mrefu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Meza ___ imevunjika.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Halima kwamba angekuja kumtembelea kesho.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47