CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 40
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. nene — nyembamba tajiri — ___
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Visawe na Vinyume
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.
nene — nyembamba
tajiri — __________
- Amaskini
- Bfukara
- Cdhaifu
- Dduni
Answer
A. maskini
Jibu sahihi: maskini.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ukanusho wa sentensi, Amepanda mlima mrefu, ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Meza ___ imevunjika.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Halima kwamba angekuja kumtembelea kesho.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza gitaa, inamaanisha Juma alitumia gitaa kucheza. Chagua jibu lenye maana nyingine ya sentensi…Question 46