CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 39
Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?
- AU-YA
- BU-I
- CI-ZI
- DI-I
Answer
B. U-I
Jibu sahihi: U-I.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. nene — nyembamba tajiri — ___Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amepanda mlima mrefu, ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Meza ___ imevunjika.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Halima kwamba angekuja kumtembelea kesho.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45