CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026: Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) (Test 14)
Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 17 questions
Topics: Kuandika, Kusoma.
All 17 questions with answers
- Question 1: SEHEMU YA A: KUANDIKA (Alama 15) Matokeo ya mtihani yametolewa. Rafiki yako ameibuka miongoni mwa wanafunzi bora shuleni mwao. Mwandikie…Answer: Tamara Phillips, S.L.P. 345, NYERI. 27 Aprili 2026. Rafiki yangu mpendwa, Natumai ujumbe huu unakukuta ukiwa…
- Question 2: SEHEMU B (Alama 35) ZOEZI II: FASIHI SIMULIZI (Alama 15) (a) Andika sifa tatu za fasihi simulizi. (Alama 3)Answer: Huwasilishwa kwa mdomo; hupokezanwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine; ni mali ya jamii nzima, haina…
- Question 3: (b) Fafanua manufaa mawili ya fasihi katika jamii. (Alama 2)Answer: Hufundisha maadili mema na mafunzo ya maisha; huhifadhi historia na utamaduni wa jamii.
- Question 4: (a) Hadithi hii ni ya aina gani? (Alama 1)Answer: Ni mighani (hadithi ya kishujaa).
- Question 5: (b) Taja sifa mbili zinazomtambulisha Lwanda kama jagina katika hadithi hii. (Alama 2)Answer: Alikuwa na nguvu za ajabu zisizo za kawaida; mwili wake ulikuwa mgumu kama jiwe hivi kwamba mikuki…
- Question 6: (c) Tambulisha shughuli mbili za kiuchumi ambazo jamii ya kifungu hiki ilishiriki. (Alama 2)Answer: Ufugaji wa ng'ombe; kilimo.
- Question 7: (d) Fafanua vipengele vitatu vya uwasilishaji ambavyo fanani anapaswa kuzingatia anapowasilisha hadithi hii. (Alama 3)Answer: Kubadilisha sauti na kiimbo kulingana na matukio, k.m. kupaza sauti wakati wa vita; kutumia ishara na…
- Question 8: (e) Eleza mafunzo mawili yanayojitokeza katika hadithi hii. (Alama 2)Answer: Tusitoboe siri zetu kwa watu tusiowaamini, kwani wanaweza kuzitumia kutuangamiza; tusikilize ushauri wa watu…
- Question 9: ZOEZI III: NOVELA (Alama 10) (a) Taja aina tatu za mandhari zinazojitokeza katika sehemu hii ya novela. (Alama 3)Answer: Nyumbani (chumbani kwa mama yake Samira); ndani ya ambulensi; hospitalini.
- Question 10: (b) Kwa nini Samira alifululiza mwendo hadi nyumbani? (Alama 1)Answer: Alitaka kumweleza mama yake habari njema kutoka shuleni.
- Question 11: (c) Fafanua masuala mawili yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 4)Answer: Dhuluma dhidi ya wajane: ami zake Samira waliwanyang'anya kila kitu baada ya mama yake kukataa kurithiwa.…
- Question 12: (d) Huku ukitolea mifano mwafaka, eleza vipengele vitatu vya lugha vilivyotumiwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 3)Answer: Tanakali za sauti: "Moyo ulianza kumdunda dududu!". Tashbihi: "mawazo yalimvamia Samira jinsi nzige…
- Question 13: ZOEZI IV: TAMTHILIA (Alama 10) (a) Ni mandhari yapi yanayojitokeza katika sehemu hii ya tamthilia? (Alama 1)Answer: Hotelini (mkahawani).
- Question 14: (b) Taja sifa mbili zinazoonyesha kuwa kifungu hiki ni mfano wa tamthilia. (Alama 2)Answer: Kimeandikwa kwa mazungumzo ya wahusika (majina yao yanatangulia maneno yao); kina maelekezo ya jukwaa ndani…
- Question 15: (c) Jadili maudhui mawili yanayojitokeza kupitia mazungumzo ya wahusika katika sehemu hii ya tamthilia. (Alama 4)Answer: Ukosefu wa ajira: Mogomba anasema "Sisi hapa tulipo hatuna kazi wala bazi." Ufisadi (hongo): Sila anasema…
- Question 16: (d) Wahusika katika sehemu hii ya tamthilia wana uhusiano gani? (Alama 2)Answer: Sila na Mogomba ni marafiki; mhudumu ni mhudumu wa hoteli, na Sila na Mogomba ni wateja wake.
- Question 17: (e) Taja kipengele kimoja cha lugha kilichotumiwa katika sehemu hii ya tamthilia. (Alama 2)Answer: Tashbihi: "binti huyu mrembo kama malaika".