CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 3
(b) Fafanua manufaa mawili ya fasihi katika jamii. (Alama 2)
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 2 marks · Topic: Kusoma, Umuhimu wa Fasihi
(b) Fafanua manufaa mawili ya fasihi katika jamii. (Alama 2)
Answer
Hufundisha maadili mema na mafunzo ya maisha; huhifadhi historia na utamaduni wa jamii.
Fasihi ni kioo cha jamii: kupitia hadithi, nyimbo, methali na kadhalika, jamii hufunza maadili, huhifadhi historia na mila zake, huburudisha na huunganisha watu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- (a) Hadithi hii ni ya aina gani? (Alama 1)Question 4
- (b) Taja sifa mbili zinazomtambulisha Lwanda kama jagina katika hadithi hii. (Alama 2)Question 5
- (c) Tambulisha shughuli mbili za kiuchumi ambazo jamii ya kifungu hiki ilishiriki. (Alama 2)Question 6
- (d) Fafanua vipengele vitatu vya uwasilishaji ambavyo fanani anapaswa kuzingatia anapowasilisha hadithi hii. (Alama 3)Question 7
- (e) Eleza mafunzo mawili yanayojitokeza katika hadithi hii. (Alama 2)Question 8
- ZOEZI III: NOVELA (Alama 10) (a) Taja aina tatu za mandhari zinazojitokeza katika sehemu hii ya novela. (Alama 3)Question 9