CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025: KJSEA Assessment 2025 (Set 9)
Kiswahili — KJSEA Assessment 2025 (Set 9) · KJSEA Assessment 2025 (Set 9) · 50 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kifungu kinasema kuwa katika enzi za mababu, wanajamii walifanya mambo yafuatayo ILA:Answer: C. Walimkataa mgeni asiyetambulika.
- Question 2: Ni nini kimeathiri mshikamano wa kijamii kulingana na kifungu?Answer: C. Watu kutojali ustawi wa wengine.
- Question 3: Kwa mujibu wa kifungu, ni athari gani ya teknolojia katika jamii?Answer: B. Imefanya wanajamii wawe wagumu kwa wenzao.
- Question 4: Kifungu kinasema kuwa vijana wengi wanatumia muda wao mwingi wakifanya nini?Answer: B. Wakicheza michezo ya video na kuwa mitandaoni.
- Question 5: Kwa mujibu wa kifungu, nini kinaweza kusaidia kurejesha mshikamano wa kijamii?Answer: C. Wazazi kuwafundisha watoto maadili ya kushirikiana.
- Question 6: Neno "mshikamano" limetumika katika kifungu. Kisawe cha neno hilo ni:Answer: A. Ushirikiano.
- Question 7: Chagua jibu linaloonyesha kuwa Juma na Ali walikuwa na uhusiano mzuri.Answer: C. Walifanya mambo mengi pamoja.
- Question 8: Kwa mujibu wa kifungu, Juma na Ali walifurahia kwenda sokoni kwa sababu gani?Answer: C. Walitamani kuona vitu vingi vizuri.
- Question 9: Kifungu kimebainisha kuwa Ali ni mtu wa aina gani?Answer: B. Mkaidi na mpenda michezo.
- Question 10: Unaweza kusema nini kuhusu Juma kutokana na hadithi hii?Answer: A. Alikuwa na busara na mwelewa.
- Question 11: Matukio yafuatayo yalitokea katika kifungu. (i) Ali alicheza bahati nasibu. (ii) Juma na Ali walipewa pesa. (iii) Mama yao aliwakumbusha…Answer: A. (ii), (iii), (i), (iv)
- Question 12: Methali "maji yakimwagika hayazoleki" katika kifungu ina maana gani?Answer: C. Tukio lililotokea haliwezi kubadilishwa.
- Question 13: Kulingana na kifungu, bahari ilikuwa muhimu kwa sababu:Answer: B. Ilitoa riziki na fursa za biashara.
- Question 14: Juma alikuwa tofauti na wavulana wengine kwa sababu:Answer: C. Alikuwa na bidii na uadilifu.
- Question 15: Kulingana na kifungu, babu yake Juma alikuwa:Answer: B. Mshauri mwenye busara.
- Question 16: Ni uamuzi gani uliofanywa kuhusu hazina aliyopata Juma?Answer: C. Ilitumiwa kwa manufaa ya jamii.
- Question 17: Maana ya msemo “Utajiri wa haraka huja na majaribu” kama ilivyotumika kifunguni ni:Answer: C. Kujipatia mali kwa ghafla kunaweza kuwa na changamoto.
- Question 18: Ni mteja yupi hununua aina tano tofauti za vyombo?Answer: A. Amina
- Question 19: Ni chombo gani hununuliwa sana na wateja wa Bi. Neema?Answer: C. Sahani
- Question 20: Ni siku gani kila mteja hununua chombo tofauti na cha wengine?Answer: A. Jumatatu
- Question 21: Amina na Baraka hununua chombo kipi kwa siku moja?Answer: B. Sufuria
- Question 22: Ni mteja yupi hununua sufuria mara nyingi zaidi?Answer: B. Baraka
- Question 23: Bi. Kendi alikuwa wapi alipomsikia Amani akilia?Answer: B. Sokoni akinunua bidhaa.
- Question 24: Amani alipotea akiwa na umri wa miaka mingapi?Answer: C. Miaka minne.
- Question 25: Kwa nini Bi. Kendi aliamua kumsaidia Amani?Answer: C. Alimhurumia na alitaka kumsaidia.
- Question 26: Mama Amani alijisikiaje alipompata mwanawe?Answer: A. Alifurahi na kushukuru.
- Question 27: Ni somo gani tunajifunza kutoka kwa Bi. Kendi?Answer: A. Kujali na kusaidia wengine ni tabia njema.
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 28.Answer: A. Muhimu
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.Answer: A. Kuishi
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 30.Answer: A. Wanapaswa
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.Answer: C. Mizozo
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Answer: C. Busara
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Answer: B. Kwa kuwa
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Answer: B. Vizuri
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Answer: C. Ili kupata
- Question 36: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 36.Answer: C. Kufundisha
- Question 37: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 37.Answer: A. Itakuwa na
- Question 38: Chagua jibu sahihi kutoka kwa maswali yafuatayo (38 - 50). Neno tamu katika sentensi, Chakula hiki ni tamu, ni aina gani ya neno?Answer: B. Kivumishi
- Question 39: Chagua sentensi iliyo katika hali ya masharti.Answer: A. Wangekuja haraka, wangepata zawadi.
- Question 40: Ni sentensi ipi yenye kitenzi kisaidizi?Answer: D. Mtoto alikuwa akilia kwa uchungu.
- Question 41: Nomino "msitu" iko katika ngeli gani?Answer: B. U-I
- Question 42: Chagua kinyume cha neno "cheka".Answer: C. Lia
- Question 43: Chagua kiwakilishi cha nafsi ya tatu wingi kujaza nafasi: Mti huu umekatwa na ___.Answer: C. wao
- Question 44: Chagua sentensi iliyo na kiunganishi cha sababu.Answer: B. Alilala mapema kwa kuwa alikuwa amechoka.
- Question 45: Chagua methali inayohimiza mshikamano.Answer: B. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
- Question 46: Chagua jibu lenye kivumishi cha sifa.Answer: D. Nimepokea zawadi nzuri.
- Question 47: Chagua sentensi iliyo na nomino ya wingi.Answer: B. Wanafunzi wameshinda mashindano.
- Question 48: Ni lipi jibu sahihi la kusema usemi wa moja kwa moja wa: Mwalimu alisema kuwa wanafunzi walifanya mtihani vizuri.Answer: B. "Wanafunzi walifanya mtihani vizuri," alisema mwalimu.
- Question 49: Sentensi ipi ina uakifishaji sahihi?Answer: A. Lo! Tumepata bahati kubwa leo.
- Question 50: Chagua methali inayohimiza uvumilivu.Answer: A. Mvumilivu hula mbivu.