naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 38

Chagua jibu sahihi kutoka kwa maswali yafuatayo (38 - 50). Neno tamu katika sentensi, Chakula hiki ni tamu, ni aina gani ya neno?

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

38. Chagua jibu sahihi kutoka kwa maswali yafuatayo (38 - 50).
Neno tamu katika sentensi, Chakula hiki ni tamu, ni aina gani ya neno?

  1. AKitenzi
  2. BKivumishi
  3. CKielezi
  4. DNomino

Answer

B. Kivumishi

‘Tamu’ inaeleza sifa ya chakula, kwa hiyo ni kivumishi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test