CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 50
Chagua methali inayohimiza uvumilivu.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali na Nahau
50. Chagua methali inayohimiza uvumilivu.
- AMvumilivu hula mbivu.
- BAsiyesikia la mkuu huvunjika guu.
- CMtoto akililia wembe mpe.
- DSamaki mkunje angali mbichi.
Answer
A. Mvumilivu hula mbivu.
Mvumilivu hula mbivu: anayesubiri kwa uvumilivu hupata matokeo mazuri.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kifungu kinasema kuwa katika enzi za mababu, wanajamii walifanya mambo yafuatayo ILA:Question 1
- Ni nini kimeathiri mshikamano wa kijamii kulingana na kifungu?Question 2
- Kwa mujibu wa kifungu, ni athari gani ya teknolojia katika jamii?Question 3
- Kifungu kinasema kuwa vijana wengi wanatumia muda wao mwingi wakifanya nini?Question 4
- Kwa mujibu wa kifungu, nini kinaweza kusaidia kurejesha mshikamano wa kijamii?Question 5
- Neno "mshikamano" limetumika katika kifungu. Kisawe cha neno hilo ni:Question 6