naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 45

Chagua methali inayohimiza mshikamano.

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali na Nahau

45. Chagua methali inayohimiza mshikamano.

  1. AMnyonge hana lake.
  2. BUmoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
  3. CSamaki mkunje angali mbichi.
  4. DHaraka haraka haina baraka.

Answer

B. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.

Methali hii inafunza kwamba watu wakiwa pamoja wana nguvu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test