CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 2) (Test 20)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · Revision 2026 (Booklet 2) · 17 questions
Topics: Kuandika, Kusoma.
All 17 questions with answers
- Question 1: ZOEZI LA 1: INSHA (Alama 15) Andika insha juu ya: UMOJA NI NGUVU, UTENGANO NI UDHAIFU.Answer: UMOJA NI NGUVU, UTENGANO NI UDHAIFU Wahenga hawakukosea waliposema kwamba umoja ni nguvu na utengano ni…
- Question 2: Maswali a) Andika maadili yanayojitokeza katika wimbo huu.Answer: Uvumilivu (kitoto kinavumilia njaa), upendo / huruma ya mwalimu, na bidii (uvivu ni mbaya).
- Question 3: b) Taja na ueleze mbinu za lugha katika wimbo huu.Answer: Takriri: "aiya aiya" inarudiwa kusisitiza na kuleta mahadhi. Utohozi: "ticha" na "skuli" ni maneno ya…
- Question 4: c) Andika muktadha mitatu ambamo nyimbo za watoto hupatikana.Answer: Nyumbani, shuleni na uwanjani wakati wa kucheza.
- Question 5: Maswali a) Shairi hili huitwa tarbia. Kwa nini? (Alama 2)Answer: Kwa sababu kila ubeti una mishororo minne.
- Question 6: b) Shairi hili lina beti ngapi? (Alama 2)Answer: Tano.
- Question 7: c) Kipokokeo cha shairi hili ni gani? (Alama 2)Answer: "Kijana nenda usome, elimu ndiyo maisha."
- Question 8: d) Ukitolea, mifano andika mbinu za lugha ambazo zimetumika katika shairi hili. (Alama 2)Answer: Takriri: "kuchezacheza"; utohozi: "shati"; sitiari: "uvivu ni kitu duni"; tashbihi: "maisha kama sunami".
- Question 9: e) Andika vina vya kati na vya mwisho vya ubeti wa tano. (Alama 2)Answer: Vina vya kati: -ka, -ka, -ka, -me. Vina vya mwisho: -da, -da, -da, -sha.
- Question 10: Maswali a) Eleza sifa za tamthilia zinazojitokeza katika sehemu hii ya tamthilia. (Alama 2)Answer: Majina ya wahusika huandikwa upande wa kushoto na maneno yao upande wa kulia; matendo ya wahusika huwekwa…
- Question 11: b) Ukitoa mifano, andika mbinu za lugha ambazo zimetumika kwenye kifungu hiki. (Alama 4)Answer: Nidaa: "Fungua!"; tashhisi: "roho itoke"; tashbihi: "umeniandama kama kivuli"; utohozi: "sweta".
- Question 12: c) Eleza sifa za Mishi kulingana na kifungu hiki. (Alama 2)Answer: Ni mwenye malalamishi (analalamika kuhusu vikao vya wazee) na mwoga (anaogopa mlango unapobishwa); pia ni…
- Question 13: d) Fafanua mandhari ambayo yametumika katika kifungu hiki. (Alama 2)Answer: Nyumbani kwa Mabula na Mishi, usiku.
- Question 14: Maswali a) Eleza maudhui ambayo yameangaziwa katika kifungu hiki. (Alama 4)Answer: Ukimbizi (wakimbizi waliochoka), ukatili / unyanyasaji, njaa na umaskini, na upendo wa mtoto kwa mama yake.
- Question 15: b) Dhamira ya mwandishi katika kifungu hiki ni (Alama 2)Answer: Kueleza namna ya kukabiliana na changamoto, na kuonyesha athari za ukatili na siasa mbaya zinazoleta…
- Question 16: c) “Kuchoka tiki” ni mbinu gani ya lugha. (Alama 1)Answer: Tanakali ya sauti.
- Question 17: d) Taja na ueleze mbinu za lugha ambazo zimetumika katika riwaya hii. (Alama 3)Answer: Tanakali ya sauti: "kuchoka tiki", "walilala fofofo"; utohozi: "plastiki"; nafsi ya kwanza katika usimulizi.