CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 3
b) Taja na ueleze mbinu za lugha katika wimbo huu.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 4 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
ZOEZI LA 2: FASIHI SIMULIZI (Alama 10)
Kitoto kivivu aiya aiya
Kikienda skuli aiya aiya
Saa tatu hazijafika aiya aiya
Ndicho hicho chalia njaa aiya aiya
“Ticha naona njaa aiya aiya aiya
Mwalimu hadiriki kuandika lolote aiya aiya
Kitoto machozi yatoka aiya aiya
Hadi ruhusa kipewe aiya aiya
Kitazame kilo ndani ya chupa aiya aiya
Ndipo kitulie aiya aiya
Jibu maswali yafuatayo kwa kurejelea wimbo uliosoma.
b) Taja na ueleze mbinu za lugha katika wimbo huu.
Answer
Takriri: "aiya aiya" inarudiwa kusisitiza na kuleta mahadhi. Utohozi: "ticha" na "skuli" ni maneno ya Kiingereza yaliyotoholewa.
Tafuta maneno yanayorudiwa na maneno ya Kiingereza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- c) Andika muktadha mitatu ambamo nyimbo za watoto hupatikana.Question 4
- Maswali a) Shairi hili huitwa tarbia. Kwa nini? (Alama 2)Question 5
- b) Shairi hili lina beti ngapi? (Alama 2)Question 6
- c) Kipokokeo cha shairi hili ni gani? (Alama 2)Question 7
- d) Ukitolea, mifano andika mbinu za lugha ambazo zimetumika katika shairi hili. (Alama 2)Question 8
- e) Andika vina vya kati na vya mwisho vya ubeti wa tano. (Alama 2)Question 9