naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2

Maswali a) Andika maadili yanayojitokeza katika wimbo huu.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi

ZOEZI LA 2: FASIHI SIMULIZI (Alama 10)
Kitoto kivivu aiya aiya
Kikienda skuli aiya aiya
Saa tatu hazijafika aiya aiya
Ndicho hicho chalia njaa aiya aiya
“Ticha naona njaa aiya aiya aiya
Mwalimu hadiriki kuandika lolote aiya aiya
Kitoto machozi yatoka aiya aiya
Hadi ruhusa kipewe aiya aiya
Kitazame kilo ndani ya chupa aiya aiya
Ndipo kitulie aiya aiya
Jibu maswali yafuatayo kwa kurejelea wimbo uliosoma.

Maswali
a) Andika maadili yanayojitokeza katika wimbo huu.

Answer

Uvumilivu (kitoto kinavumilia njaa), upendo / huruma ya mwalimu, na bidii (uvivu ni mbaya).

Wimbo unamhusu kitoto kivivu kinacholia njaa shuleni.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test