CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026: Karatasi ya Marudio 2026 (Test 17)
Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · Revision Paper 2026 · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: Ni kiungo kipi kinachodhibiti mawazo na mwili?Answer: B. Ubongo
- Question 2: Ni ipi kati ya sentensi hizi inaeleza kwa usahihi kazi ya ini?Answer: C. Huondoa sumu na kutoa maji
- Question 3: Ni tabia ipi inaweza kudhuru viungo vya ndani vya mwili?Answer: C. Matumizi ya dawa za kulevya
- Question 4: Kwa nini ni muhimu kujua viungo vya ndani vya mwili?Answer: C. Ili kuelewa jinsi ya kutunza afya yetu
- Question 5: Ni kiungo kipi hutumika kupumua?Answer: B. Mapafu
- Question 6: Saida na Nuru walikuwa na pesa ngapi?Answer: A. Elfu moja
- Question 7: Mchezo wa kibe ni upi?Answer: D. Uchezwao na watoto
- Question 8: Kabla ya alasiri huwa ___Answer: D. adhuhuri
- Question 9: Ni nini maana ya msemo: Walipiga gumzoAnswer: B. kujadiliana kwa jambo
- Question 10: Ni msimu upi unaohusishwa na kuchanua kwa maua?Answer: C. Majira ya masika
- Question 11: Kwa nini watoto walifurahia majira ya joto?Answer: C. Kwa sababu ya jua kali na mwanga
- Question 12: Ni nini kilitokea wakati wa majira ya vuli?Answer: B. Majani yalibadilika rangi na kuanguka.
- Question 13: Shairi hili ni la aina gani?Answer: C. Tarbia
- Question 14: Ujumbe upi unajitokeza katika ubeti wa kwanza?Answer: A. Uchochole ni ugonjwa hatari
- Question 15: Mshororo wa kwanza katika ubeti wa pili una mizani mingapi?Answer: D. 16
- Question 16: Soma kifungu kifuatacho, kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa. ___16___ ya…Answer: C. Baada
- Question 17: (Nafasi 17) tulimkaribisha ___.Answer: C. sebuleni
- Question 18: (Nafasi 18) ili akate kiu ___.Answer: A. chake
- Question 19: (Nafasi 19) Aliketi kwenye kochi huku ___ na baba.Answer: A. wakipiga gumzo
- Question 20: (Nafasi 20) Alikuwa amekawia ___.Answer: C. kututembelea
- Question 21: Neno tabasamu lina silabi ngapi?Answer: C. 4
- Question 22: Maneno haya yatapangwa vipi katika kamusi: (i) jongoo (ii) joho (iii) johari (iv) jongomeoAnswer: B. (iii) (ii) (iv) (i)
- Question 23: Nomino ndizi, nyumba na habari hupatikana katika ngeli yaAnswer: C. I-ZI
- Question 24: Kamilisha methali: Mgeni njoo ___Answer: B. mwenyeji apone
- Question 25: Chagua sentensi iliyoakifishwa kwa usahihi.Answer: C. Maria ameenda wapi?
- Question 26: Chagua kundi la nomino pekee.Answer: A. Halima, kiti, Mombasa
- Question 27: Andika kinyume cha sentensi. Mama anapika chakula.Answer: B. Baba anapika chakula.
- Question 28: Andika udogo wa sentensi hii. Mbuzi huyu anaelekea mjini.Answer: B. Kibuzi hiki kinaelekea kijijini.
- Question 29: Je, ni sentensi gani imetumia kivumishi kiulizi ipasavyo?Answer: D. Unataka duka lako lijengwe vipi?
- Question 30: Tegua kitendawili. Lapendeza lakini halidumu.Answer: A. ua
- Question 31: Andika insha ya kusisimua kuhusu: SHEREHE NILIYOHUDHURIA Zingatia mpangilio mzuri wa mawazo, sarufi sahihi, tahajia na uakifishaji.Answer: SHEREHE NILIYOHUDHURIA Jumamosi iliyopita, nilihudhuria sherehe ya kuhitimu ya binamu yangu, Amina,…