naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 16

Soma kifungu kifuatacho, kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa. ___16___ ya shangazi kufika…

From Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Soma kifungu kifuatacho, kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.

______16______ ya shangazi kufika nyumbani kwetu tulimkaribisha ______17______. Mama alimwekea maji baridi kwenye bilauri ili akate kiu ______18______. Aliketi kwenye kochi huku ______19______ na baba. Alikuwa amekawia ______20______.

(Nafasi 16)

  1. AKando
  2. BKabla
  3. CBaada
  4. DSababu

Answer

C. Baada

"Baada ya shangazi kufika nyumbani kwetu" ni muundo sahihi wa kisarufi unaoonyesha tukio lililofuata kufika kwake.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test