naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 19

(Nafasi 19) Aliketi kwenye kochi huku ___ na baba.

From Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

(Nafasi 19) Aliketi kwenye kochi huku ______ na baba.

  1. Awakipiga gumzo
  2. Bwakipiga miayo
  3. Cwakipiga kamsa
  4. Dwakicheza

Answer

A. wakipiga gumzo

"Huku wakipiga gumzo na baba" kinaonyesha walikuwa wakizungumza/wakijadiliana na baba wakiwa wameketi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test