CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Nomino ndizi, nyumba na habari hupatikana katika ngeli ya
From Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
Nomino ndizi, nyumba na habari hupatikana katika ngeli ya
- ALI-YA
- BA-WA
- CI-ZI
- DU-ZI
Answer
C. I-ZI
Ndizi, nyumba na habari ni nomino za ngeli ya I-ZI (ngeli ya N) ambazo umoja na wingi wake hazibadiliki kwa umbo.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha methali: Mgeni njoo ___Question 24
- Chagua sentensi iliyoakifishwa kwa usahihi.Question 25
- Chagua kundi la nomino pekee.Question 26
- Andika kinyume cha sentensi. Mama anapika chakula.Question 27
- Andika udogo wa sentensi hii. Mbuzi huyu anaelekea mjini.Question 28
- Je, ni sentensi gani imetumia kivumishi kiulizi ipasavyo?Question 29