CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Je, ni sentensi gani imetumia kivumishi kiulizi ipasavyo?
From Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vivumishi Viulizi
Je, ni sentensi gani imetumia kivumishi kiulizi ipasavyo?
- AWageni gani watakaoalikwa jioni?
- BMaradhi ya korona yatakoma lini?
- CMbuzi wapi aliyegongwa na gari?
- DUnataka duka lako lijengwe vipi?
Answer
D. Unataka duka lako lijengwe vipi?
Mwongozo wa kusahihisha umekubali 'Unataka duka lako lijengwe vipi?' kama matumizi sahihi ya kivumishi kiulizi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili. Lapendeza lakini halidumu.Question 30
- Andika insha ya kusisimua kuhusu: SHEREHE NILIYOHUDHURIA Zingatia mpangilio mzuri wa mawazo, sarufi sahihi, tahajia na…Question 31
- Ni kiungo kipi kinachodhibiti mawazo na mwili?Question 1
- Ni ipi kati ya sentensi hizi inaeleza kwa usahihi kazi ya ini?Question 2
- Ni tabia ipi inaweza kudhuru viungo vya ndani vya mwili?Question 3
- Kwa nini ni muhimu kujua viungo vya ndani vya mwili?Question 4