CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Andika kinyume cha sentensi. Mama anapika chakula.
From Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushi
Andika kinyume cha sentensi.
Mama anapika chakula.
- AMama hapiki chakula.
- BBaba anapika chakula.
- CMama anatoa chakula.
- DBaba hapiki chakula.
Answer
B. Baba anapika chakula.
Mwongozo wa kusahihisha unachukua 'kinyume' hapa kama kubadilisha jinsia ya mhusika (mama kuwa baba), hivyo 'Baba anapika chakula' ndilo jibu lililokubaliwa.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Andika udogo wa sentensi hii. Mbuzi huyu anaelekea mjini.Question 28
- Je, ni sentensi gani imetumia kivumishi kiulizi ipasavyo?Question 29
- Tegua kitendawili. Lapendeza lakini halidumu.Question 30
- Andika insha ya kusisimua kuhusu: SHEREHE NILIYOHUDHURIA Zingatia mpangilio mzuri wa mawazo, sarufi sahihi, tahajia na…Question 31
- Ni kiungo kipi kinachodhibiti mawazo na mwili?Question 1
- Ni ipi kati ya sentensi hizi inaeleza kwa usahihi kazi ya ini?Question 2