CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 14
Ujumbe upi unajitokeza katika ubeti wa kwanza?
From Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
Ujumbe upi unajitokeza katika ubeti wa kwanza?
- AUchochole ni ugonjwa hatari
- BMaisha ni mazuri
- CTunafurahia uchochole
- DHatuteseki maishani
Answer
A. Uchochole ni ugonjwa hatari
Ubeti wa kwanza unasema "Uchochole ni hatari, hatari kwa kila mtu... ewe ugonjwa hatari," ukilinganisha uchochole na ugonjwa hatari.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Mshororo wa kwanza katika ubeti wa pili una mizani mingapi?Question 15
- Soma kifungu kifuatacho, kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale…Question 16
- (Nafasi 17) tulimkaribisha ___.Question 17
- (Nafasi 18) ili akate kiu ___.Question 18
- (Nafasi 19) Aliketi kwenye kochi huku ___ na baba.Question 19
- (Nafasi 20) Alikuwa amekawia ___.Question 20