naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13

Shairi hili ni la aina gani?

From Test 17 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi

Shairi
Uchochole ni hatari, hatari kwa kila mtu,
Tufanye nini fikiri, na tusiteseke kiatu,
Maisha yawe mazuri, tukiwa na kila kitu,
Dawa yao ndiyo gani, ewe ugonjwa hatari.

Chakula umetunyima, mavazi nayo hatuna,
Nyumba nzuri tumehama, mwili unauma sana,
Kwenye shida tumezama, kulia tena na tena,
Dawa yako ndiyo gani, ewe ugonjwa hatari?

Shairi hili ni la aina gani?

  1. ATathlitha
  2. BTathnia
  3. CTarbia
  4. DTakmisa

Answer

C. Tarbia

Kila ubeti wa shairi hili una mishororo minne, hivyo ni shairi la Tarbia (mishororo minne kwa ubeti).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test