CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026: Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 50 questions
Topics: Kusoma, Fasihi Simulizi, Msamiati, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: a. Kulingana na habari, ni watu gani wanaoiba pesa?Answer: Matapeli
- Question 2: b. Mwandishi anatushauri tufanye nini tunapotembea mjini?Answer: Tuchukue tahadhari kubwa.
- Question 3: c. Kamilisha: Maneno matamu humtoa ___ pangoni.Answer: B. nyoka
- Question 4: d. Eleza maana ya neno wanaohadaa:Answer: Wanaodanganya
- Question 5: e. Andika maana ya neno matapeli:Answer: Wadanganyifu wanaoiba mali za watu
- Question 6: f. Unapofika vichorochoroni, huwa unafanyiwa nini?Answer: Unaporwa na kupigwa.
- Question 7: Chagua maneno yaliyopo kwenye mabano kujaza mapengo: (alama 6) Maneno: mayai, tamu, nyama, bata, gredi, hukiwa, mengi a. ___ anapenda sana…Answer: Bata
- Question 8: b. ___ yake ni tamu sana.Answer: Nyama
- Question 9: c. Kuku pia hutaga ___ japo madogo kushinda bata.Answer: mayai
- Question 10: d. Nyama ya kuku pia ni ___Answer: tamu
- Question 11: e. Kuna kuku wa kienyeji na kuku wa ___Answer: gredi
- Question 12: f. Kuku wa gredi hukua haraka na kutaga mayai ___Answer: mengi
- Question 13: Jaza pengo kwa kutumia viunganishi: (alama 4) a. Juma alikula ___ hakushiba. (kwa sababu, lakini, pia)Answer: lakini
- Question 14: b. Tulipita mtihani ___ tulifanya bidii. (lakini, na, kwa sababu)Answer: kwa sababu
- Question 15: c. Halima ___ Fatuma wanaosha vyombo. (na, lakini, kwa sababu)Answer: na
- Question 16: d. Waliadhibiwa ___ walivunja sheria za shule. (pia, kwa sababu, na)Answer: kwa sababu
- Question 17: Andika sentensi hizi kwa umoja: (alama 5) a. Miti ya mapera imekatwa.Answer: Mti wa mpera umekatwa.
- Question 18: b. Nguo zao ni chafu sana.Answer: Nguo yake ni chafu sana.
- Question 19: c. Viti vizuri vitauzwa.Answer: Kiti kizuri kitauzwa.
- Question 20: d. Wakulima wanalima kwa bidii.Answer: Mkulima analima kwa bidii.
- Question 21: e. Maembe hayo ni matamu.Answer: Embe hilo ni tamu.
- Question 22: Andika kinyume cha nomino hizi: (alama 5) a. MzeeAnswer: kijana
- Question 23: b. MchanaAnswer: usiku
- Question 24: c. MaskiniAnswer: tajiri
- Question 25: d. RafikiAnswer: adui
- Question 26: e. MfalmeAnswer: malkia
- Question 27: Andika nomino za makundi katika sentensi zifuatazo: (alama 5) a. Barabarani kulikuwa na mlolongo wa magari.Answer: mlolongo
- Question 28: b. Safu ya milima hupendeza.Answer: safu
- Question 29: c. Kikosi cha askari kilikuwa kimesimama barabarani.Answer: kikosi
- Question 30: d. Fatuma alinunua jozi ya viatu.Answer: jozi
- Question 31: e. Mama alinunua pakacha la matunda sokoni.Answer: pakacha
- Question 32: Kamilisha methali hizi: (alama 3) a. Mgagaa na upwa ___Answer: hali wali mkavu.
- Question 33: b. Achanikaye kwenye mpini ___Answer: hafi njaa.
- Question 34: c. Mtumai cha nduguye ___Answer: hufa maskini.
- Question 35: Tunga sentensi ukitumia maneno yafuatayo: (alama 2) a. MlindalangoAnswer: Mlindalango aliudaka mpira kwa ustadi.
- Question 36: b. VinasasautiAnswer: Mwanahabari alitumia vinasasauti kurekodi mahojiano.
- Question 37: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno hilo liko kwenye mabano): (alama 3) a. Mtoto alifunga (funga) mlango.Answer: fungua
- Question 38: b. Mzee alipanda (panda) mlima.Answer: shuka
- Question 39: c. Mama alianika (anika) nguo.Answer: anua
- Question 40: Kamilisha sentensi: (alama 3) a. Mwashi alijenga nyumba ___Answer: kwa mawe
- Question 41: b. Tunatumia ___ kulima. (jembe, shoka)Answer: jembe
- Question 42: c. ___ hutumiwa kukata muwa. (shoka, panga)Answer: Panga
- Question 43: Tumia kiambishi -ake: (alama 2) a. KichwaAnswer: kichwa chake
- Question 44: b. KalamuAnswer: kalamu yake
- Question 45: Andika kwa maneno: (alama 2) a. 56Answer: hamsini na sita
- Question 46: b. 71Answer: sabini na moja
- Question 47: Andika wingi wa sentensi hizi: (alama 2) a. Kijiko kilioshwa na kaka.Answer: Vijiko vilioshwa na kaka.
- Question 48: b. Chakula kilikuwa juu ya meza.Answer: Vyakula vilikuwa juu ya meza.
- Question 49: Tegua vitendawili: (alama 3) a. Akitolewa nje ya maji hufa.Answer: Samaki
- Question 50: c. Mwaka huwa na miezi ___Answer: kumi na miwili