CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 1
a. Kulingana na habari, ni watu gani wanaoiba pesa?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
1. Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali (alama 5):
Unapotembea mjini, chukua tahadhari kubwa sana. Kuna matapeli wanaohadaa watu. Matapeli hao hujikusanya makundi ili kungojea watembezi wanaoonekana wageni. Mara wanapowagundua, hunasa pesa, simu na vitu vingine kisha kukimbia navyo. Wengine hutumia maneno matamu, kisha hukuandama na ukifika kichorochoroni watakupora na kukimbia. Wengine watakupiga na kukuacha umeumia. Iwapo unahitaji msaada wowote, tafuta bawabu au askari wa karibu. Usijiingize kwenye shida bure.
a. Kulingana na habari, ni watu gani wanaoiba pesa?
Answer
Matapeli
"Kuna matapeli wanaohadaa watu."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- b. Mwandishi anatushauri tufanye nini tunapotembea mjini?Question 2
- c. Kamilisha: Maneno matamu humtoa ___ pangoni.Question 3
- d. Eleza maana ya neno wanaohadaa:Question 4
- e. Andika maana ya neno matapeli:Question 5
- f. Unapofika vichorochoroni, huwa unafanyiwa nini?Question 6
- Chagua maneno yaliyopo kwenye mabano kujaza mapengo: (alama 6) Maneno: mayai, tamu, nyama, bata, gredi, hukiwa, mengi…Question 7