CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 5
e. Andika maana ya neno matapeli:
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Msamiati
1. Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali (alama 5):
Unapotembea mjini, chukua tahadhari kubwa sana. Kuna matapeli wanaohadaa watu. Matapeli hao hujikusanya makundi ili kungojea watembezi wanaoonekana wageni. Mara wanapowagundua, hunasa pesa, simu na vitu vingine kisha kukimbia navyo. Wengine hutumia maneno matamu, kisha hukuandama na ukifika kichorochoroni watakupora na kukimbia. Wengine watakupiga na kukuacha umeumia. Iwapo unahitaji msaada wowote, tafuta bawabu au askari wa karibu. Usijiingize kwenye shida bure.
e. Andika maana ya neno matapeli:
Answer
Wadanganyifu wanaoiba mali za watu
Watu wanaodanganya ili kuiba.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- f. Unapofika vichorochoroni, huwa unafanyiwa nini?Question 6
- Chagua maneno yaliyopo kwenye mabano kujaza mapengo: (alama 6) Maneno: mayai, tamu, nyama, bata, gredi, hukiwa, mengi…Question 7
- b. ___ yake ni tamu sana.Question 8
- c. Kuku pia hutaga ___ japo madogo kushinda bata.Question 9
- d. Nyama ya kuku pia ni ___Question 10
- e. Kuna kuku wa kienyeji na kuku wa ___Question 11