CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 7
Chagua maneno yaliyopo kwenye mabano kujaza mapengo: (alama 6) Maneno: mayai, tamu, nyama, bata, gredi, hukiwa, mengi a. ___ anapenda sana kuogelea majini.…
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
2. Chagua maneno yaliyopo kwenye mabano kujaza mapengo: (alama 6)
Maneno: mayai, tamu, nyama, bata, gredi, hukiwa, mengi
a. ______ anapenda sana kuogelea majini. Yeye hutaga mayai makubwa.
Answer
Bata
Tumia maneno yaliyotolewa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- b. ___ yake ni tamu sana.Question 8
- c. Kuku pia hutaga ___ japo madogo kushinda bata.Question 9
- d. Nyama ya kuku pia ni ___Question 10
- e. Kuna kuku wa kienyeji na kuku wa ___Question 11
- f. Kuku wa gredi hukua haraka na kutaga mayai ___Question 12
- Jaza pengo kwa kutumia viunganishi: (alama 4) a. Juma alikula ___ hakushiba. (kwa sababu, lakini, pia)Question 13