CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 12
f. Kuku wa gredi hukua haraka na kutaga mayai ___
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
f. Kuku wa gredi hukua haraka na kutaga mayai ______
Answer
mengi
Tumia maneno yaliyotolewa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Jaza pengo kwa kutumia viunganishi: (alama 4) a. Juma alikula ___ hakushiba. (kwa sababu, lakini, pia)Question 13
- b. Tulipita mtihani ___ tulifanya bidii. (lakini, na, kwa sababu)Question 14
- c. Halima ___ Fatuma wanaosha vyombo. (na, lakini, kwa sababu)Question 15
- d. Waliadhibiwa ___ walivunja sheria za shule. (pia, kwa sababu, na)Question 16
- Andika sentensi hizi kwa umoja: (alama 5) a. Miti ya mapera imekatwa.Question 17
- b. Nguo zao ni chafu sana.Question 18