naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 2

b. Mwandishi anatushauri tufanye nini tunapotembea mjini?

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

1. Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali (alama 5):
Unapotembea mjini, chukua tahadhari kubwa sana. Kuna matapeli wanaohadaa watu. Matapeli hao hujikusanya makundi ili kungojea watembezi wanaoonekana wageni. Mara wanapowagundua, hunasa pesa, simu na vitu vingine kisha kukimbia navyo. Wengine hutumia maneno matamu, kisha hukuandama na ukifika kichorochoroni watakupora na kukimbia. Wengine watakupiga na kukuacha umeumia. Iwapo unahitaji msaada wowote, tafuta bawabu au askari wa karibu. Usijiingize kwenye shida bure.

b. Mwandishi anatushauri tufanye nini tunapotembea mjini?

Answer

Tuchukue tahadhari kubwa.

Sentensi ya kwanza.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test