naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 3

c. Kamilisha: Maneno matamu humtoa ___ pangoni.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Fasihi Simulizi, Methali

1. Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali (alama 5):
Unapotembea mjini, chukua tahadhari kubwa sana. Kuna matapeli wanaohadaa watu. Matapeli hao hujikusanya makundi ili kungojea watembezi wanaoonekana wageni. Mara wanapowagundua, hunasa pesa, simu na vitu vingine kisha kukimbia navyo. Wengine hutumia maneno matamu, kisha hukuandama na ukifika kichorochoroni watakupora na kukimbia. Wengine watakupiga na kukuacha umeumia. Iwapo unahitaji msaada wowote, tafuta bawabu au askari wa karibu. Usijiingize kwenye shida bure.

c. Kamilisha:
Maneno matamu humtoa ______ pangoni.

  1. Asimba
  2. Bnyoka
  3. Csungura
  4. Dmdudu

Answer

B. nyoka

Maneno matamu humtoa nyoka pangoni.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test